Ruka kwenda kwenye maudhui makuu

Safu ya 2

Mitandao ya Ethereum

Tumia Ethereum kwa sehemu ya gharama yote.

Inaendeshwa na Ethereum

Ethereum sio mtandao mmoja tu tena. Ikiwa na mamia ya mifumo iliyojengwa juu yake, Ethereum imekuwa ya gharama nafuu zaidi, ya kasi na inapatikana kwa ajili ya matumizi ya kila siku.

Kabiliana na siku zijazo kwa kujiunga mojawapo ya mitandao mingi inayoendeshwa na Ethereum!

Mwanamume na mbwa wanaocheza

$1.56

Gharama wastani ya muamala kwenye mfumo wa Ethereum

$0.103

Gharama wastani ya miamala kwenye mitandao inayoendeshwa na Ethereum

Mtandao ya mitandao

Uwezo na usalama wa Ethereum hutoa jukwaa kwa mitandao mingine kujengea juu yake. Ikiwa na akaunti moja, kila kitu kinaendana na kuunganishwa kwa urahisi.

Optimism
Arbitrum One
ZKSync Era
Linea
Mode
Scroll
Base
Blast
Starknet
Ethereum

Ada za $ 0.01

Unaweza kufanya biashara, kutuma pesa kote duniani, au kutumia programu bila wasiwasi kuhusu gharama kubwa.

Miamala ya haraka sana,

Iwe unafanya malipo ya haraka au kushiriki katika miamala ya fedha iliyogatuliwa (DeFi), miamala yote huchukua sekunde chache tu.

Inaungwa mkono na Ethereum

Mfumo wa Ethereum uliothibitishwa na uliogatuliwa hutumika kama safu ya kujengea mitandao mingine mpya.

Uko tayari kuanza?

Angalia mitandao yote tofauti ambayo inapatikana kwa ajili yako.

Chunguza mitandao
Arbitrum One

Arbitrum One

Arbitrum One ni Uzinduzi wa Jaribio uliojengwa na Offchain Labs na kusimamiwa na Arbitrum DAO.

Optimism

Optimism

OP Mainnet ni Uzinduzi wa Jaribio unaolingana na EVM. Unanuiwa kuwa wa haraka, rahisi na salama.

Ethereum

Inaendeshwa na Ethereum

Walking

Kwa nini tunahitaji mitandao mbalimbali kwenye Ethereum?

Kwa nini kuna mitandao yote hii wala sio mtandao mmoja tu wa Ethereum?

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara